PARAPANDA NEWSLETTER

 

Jarida la Parapanda hutolewa kila Robo na Idara ya Mawasiliano ya Kanisa la Waadventista wa Sabato, Konferensi ya Mashariki mwa Tanzania. Kazi zinazochapishwa katika arida hili, hupitishwa katika mchakato wa uhariri na uhakiki ili zifae kwa mtumiaji na kuepuka matumizi ya kazi za watu wengine bila ridhaa zao. Wote wanaopenda kuleta kazi zao ili zitolewe katika jarida hili, wawasiliane na Ofisi ya Mawasiliano ya Kanisa la Waadventista wa Sabato, Konferensi ya Mashariki mwa Tanzania ili wapewe mwongozo wa jinsi ya kuandaa, kuandika na kutuma kazi zao.

Parapanda